Unaweza kumpima mwenzio maabara kama ana tabia ya kucheat!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unaweza kumpima mwenzio maabara kama ana tabia ya kucheat!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tuko, Mar 28, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ni rahisi. Wanaume wenye 'gene' ya DRD4 wamegundulika wanatabia za kucheat, uncommited sex na uhuni wote.

  So, wadada, chukua kitu chochote cha mwanaume wako kama mswaki, kitana, (ambavyo ashatumia) sperm au chochote wanakoweza kutoa DNA zake, peleka maabara, then utajua kuwa mkioana utakuwa wmenyewe au la. Na kama mshaoana utajua kama uko mwenyewe au mpo kadhaa...

  Source;
  Researchers Discover Infidelity Gene | Breaking News USA
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mimi sitaki fanya hiyo kitu manake nampenda sana na siko tayari kumwacha kwa sasa.
   
 3. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,089
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  tatizo ni kwamba wanaume wenye hizo makitu ndiyo wanaopendwa sana na wanawake. si umeona wa kwanza alivyocomment!!!!!!!!!!!!
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Siamini kila anachosema mzungu!Inawezekana ikawa koinsidensi tu!
   
 5. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,712
  Likes Received: 1,893
  Trophy Points: 280
  mm nahisi kuna vitu vingi vya muhimu kuvipima kuliko hicho, mfano watu wengi wamebambikiziwa watoto na wangine wamedhulumiwa kids, je hili halitasaidia kuwaweka waathirika huru.
   
 6. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Wazungu wakikosa cha kuchunguza wanakuja na vitu kama hivi huku africa haisaidii kama wewe ni wa dini ya wake wengi hata ukijua huna la kufanya
   
 7. T

  Tall JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Mambo gani tena ya kupimana pimana. Ukiona mwanamme katoka nje ni kwa sababu kuna kitu kinamiss kwako.
   
 8. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Uchuro huu wa wazungu
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Aka! Sitaki presha na kisukari.
   
Loading...