Unaweza kulipwa na YouTube? hii imekaaje?

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Habari zawakati huu wadau poleni Na majukumu yakutwa

Nimeona nilete kwenu Uzi huu kupata ushauri au Maelekezo kwa Wataalam

Naitaji kufungua account YouTube niwe narusha habari online .

Lakini sijui Faida ya YouTube

Nalishawahi sikia video yako ikitizamwa nawatu wengi wahusika was mtandao huo wanakulipa

Pesa sijui kunaukweli hapo??

Kwawatalam naomba wanieleze faida nahasara za YouTube ili nijue chakufanya

Natanguliza shukraan dhazati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom