Unaweza kula keki hii ya aina yake??

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Unaweza kula keki hii ya aina yake?
 

Attachments

  • keki ya Nyoka.jpg
    28.8 KB · Views: 1,088
Loh, hata unipe na hela juu siili. Kuna moja niliwah kuiona ya choo na kimba juu yake. Majuu kweli hamnazo
 
si unafumba macho tuu na unatupia mdomoni, utamu wake unakusahaulisha!
 
Nitatoa hicho kichwa maana ndio kinatisha then naigonga keki kama kawa
 
Najuwa keki utamu wake hayo mengine hayaharibu appetite yangu!
 
Hapana kwa kweli....
Hata kuisogelea siwezi
 
uwiiii mbona inatisha hivyo mie kiukweli siwezi kuila
 
Hata kwa hela sili,duhhh!!Kuna siku nimeenda kwenye birthday ya rafiki yangu,wakati wa keki rafiki yake wa kike si kaleta keki inafanana /ya ramani ya sambusa(papuchi)!Duhh nilitoka nje wakati wa kula!
 
Duuh inatisha,why wud sm1 make a cake like tht,myb for snake parks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…