Unaweza kuhama chuo na Kubadili Kozi?

Unaweza kuhama chuo na Kubadili Kozi?

tulyfrance

Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
16
Reaction score
2
Habarin wana Jf,

Nimesikia eti mtu huwezi kutransfer chuo kwenda kingne kwa faculty tofauti.

Mfano; Kutoka musoma utalii college koz ICT kwenda chato health science and technology.

Na kwamba unaweza kutransfer chuo lakn kwa koz ile ile ndo inawezekana , hivi ni kweli? Msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom