Unaweza kudhani unayajua mapenzi, kumbe ni kinyume chake... Jifunze kwa huyu...!

...oooh - am sory if u
wuld feel ofended,inamana unataka kusema tangu uwe in sex
relationship(kama ushawahi) jamaa yako hajawahi kukugusa/kukupasa takoz
na kujikuta kaslide ndani ya ule mfereji unaotenganisha hizo takoz mbili
kabla ya kulifikia la pili durin ur foreplay na ukatamani astoe mkono
wake hapo au..,sabu naamini wanaume wote wanapenda sana kubonyeza zile
sponji mbili za backyard na hakuna raha kwa mtoto wa kike bila kuguswa
mferejini iwe analiwa au haliwi TIGO...

Mh! Kumbe wengine kwenye darasa la mapenzi tuko pre- Unit!
 
Nyie bado sana. Halafu mkisaidiwa kuwatawadha, mnalalama wanawake hawana mapenzi ya kweli. Mi bwana simcheki ujinga huyo jamaa.
 
Mpenzi wangu ananinawisha tuuu tukimaliza ku do mara moja moja not nyaa, huo ni unyanyasaji kabisa na ni against na mambo ya health and hygene ,hapana aisee
 
Daaaah,Mnanikumbusha mbal....Ma boy alipata ajal na akavunjika mkono na majeraha mengne lkn nilikuwa naenda kwao kumuogesha na akijisaidia namsafisha!
 
Kama kweli anaona kinyaa kiasi alichokwambia ilikuwaje mpaka akakubali kutoa hiyo huduma siku ya kwanza alipoanza mahusiano na huyo mwenzake? Je alishikiwa bastola? Au kinyaa kimeanza baadaye?
 
Mapenzi yana vi2 vingi sana ambavyo ukihadithiwa utaona ni uongo ila ndio mapenzi yenyewe hayoo!! wote mnaoshangaa hilo... kuna mengi zaidi yakushangaza kwenye mapenzi!! mengi sana na tena ya ajabu sana...., Cha muhuimu lakini pia kigumu ni kumpata mtu anayeendana na anayependa au mwenye tabia kama hizo sio kwa kulazimishana kuvipenda!!!
 
yn hapa nawaza huyo dada ameinama anasubiri kutawazwa, khaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!! aache kumuadhuibu mwenzake kiac hcho hayo mapenz hta shetan anakataa
 
Leo kaja kunisabahi asubuhi hii jamaa yangu mmoja,baada ya salamu ndipo alipotoa mpya,huenda isiwe mpya kwako,kwani inaweza kuwa ni kawaida tu,alitaka shauri,akaniambia yafuatayo,"Bwana Eiyer nimeona nikushirikishe jambo hili maana najua utanishauri,mpenzi wangu ana ka tabia kanakonikera sana,amekua na kawaida kila akija kulala hapa,akienda haja kubwa huniambia eti nimtawaze maana hayo ni mapenzi na anajisikia furaha nikifanya hivyo,nimekuwa nikifanya kama anavyotaka lakini naelekea kushindwa,halafu pia ana tabia ya kutumia mswaki wangu kila anapolala hapa,nimemnunulia wake hautumii eti anaonesha upendo,jambo hili silipendi sana,sijui unanishauri nini"?Dah!Nilimuuliza kuhusu anavyojua maana ya upendo,na baadae nilimshauri na akaenda.Dah!Nilichogundua mapenzi yana changamoto zake na kamwe usije kudhani unayajua.Pia kama unadhani huu ni mzaha umekosea sana,ni bora ukafikiri upya.Lililogumu kwako ni jepesi kwa mwenzo,kuna jamaa aliwahi kuniomba ushauri kuhusu tabia yake ya kupenda kulamba mlango taka wa mpenzi wake kila wakutanapo kimwili kama kuna ubaya,uchafu ni msamiati wenye tafsiri inayokinzana miongoni mwetu,Sasa hebu fikiri utafanya nini ukikutana na mpenzi wa aina hii?

Namuacha.
 
heee nimeipenda hiyo, a wil try dat! Ila mi cdhani kama ni tatizo, kikubwa nyie mnaofanya hivyo iwe kwa roho nyeupe,kwa kupenda na sio kuiga wala kulazimishwa kufanya wakati nafc yako inachafuka!,.lol
 
Sijawahi kucheka mda mrefu namna híi muda huu usiku wa manane kama leo! Michango ya wanajamvi imenivunja mbavu!..., just imagine mda huu unampa huduma hiyo bf/gf au mme/mkeo! Uchafu uchafu uchafu!
 
Back
Top Bottom