Nyendo JF-Expert Member Joined Jun 4, 2017 Posts 1,454 Reaction score 5,134 Apr 30, 2021 #1 Napenda samaki wabichi ila changamoto ni kuwakaanga jamani. Mimi huwa naweka ngano, nachanganya ngano na maji nachovya samaki wabichi kisha nakaanga. Wanatoka vizuri sana na wanakuwa watamu mno. Tupe mbinu yako na wewe.
Napenda samaki wabichi ila changamoto ni kuwakaanga jamani. Mimi huwa naweka ngano, nachanganya ngano na maji nachovya samaki wabichi kisha nakaanga. Wanatoka vizuri sana na wanakuwa watamu mno. Tupe mbinu yako na wewe.
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,708 Reaction score 35,719 Apr 30, 2021 #2 Kumbe solution unayo mkuu?
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,789 Reaction score 39,513 Apr 30, 2021 #3 Ngano ya nini best mafuta yatakapo pata moto vizuri samaki hawezi kung'anga'nia kwenye kingaango.
Nyendo JF-Expert Member Joined Jun 4, 2017 Posts 1,454 Reaction score 5,134 Apr 30, 2021 Thread starter #4 Nuzulati said: Ngano ya nini best mafuta yatakapo pata moto vizuri samaki hawezi kung'anga'nia kwenye kingaango. Click to expand... Oo asante nitajaribu huenda naweka mafuta yakiwa hayajachemka vizuri.
Nuzulati said: Ngano ya nini best mafuta yatakapo pata moto vizuri samaki hawezi kung'anga'nia kwenye kingaango. Click to expand... Oo asante nitajaribu huenda naweka mafuta yakiwa hayajachemka vizuri.
M mama kubwa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 6,564 Reaction score 10,618 May 3, 2021 #5 Unasubiri mafuta yapate moto sana unawaweka usigeuze mpaka usikie mafuta yanatoa mlio kama Pu Pu kuna mlio fulani kama mafuta yanataka kulipuka unageuza bila shida.
Unasubiri mafuta yapate moto sana unawaweka usigeuze mpaka usikie mafuta yanatoa mlio kama Pu Pu kuna mlio fulani kama mafuta yanataka kulipuka unageuza bila shida.
3ZOV JF-Expert Member Joined Dec 28, 2020 Posts 6,259 Reaction score 7,019 May 3, 2021 #6 Vipi ulisagia na tangawizi humo?
C cool d JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 1,741 Reaction score 1,754 Sep 18, 2021 #7 Nyendo said: Napenda samaki wabichi ila changamoto ni kuwakaanga jamani. Click to expand... Nununua nonstick pan, zipo kubwa hivi mfano Design nonstick double pan.
Nyendo said: Napenda samaki wabichi ila changamoto ni kuwakaanga jamani. Click to expand... Nununua nonstick pan, zipo kubwa hivi mfano Design nonstick double pan.
Nyendo JF-Expert Member Joined Jun 4, 2017 Posts 1,454 Reaction score 5,134 Dec 19, 2022 Thread starter #8 cool d said: Nununua nonstick pan, zipo kubwa hivi mfano Design nonstick double pan. Click to expand... Nikipata hela nanunua
cool d said: Nununua nonstick pan, zipo kubwa hivi mfano Design nonstick double pan. Click to expand... Nikipata hela nanunua
mkabasia JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 3,079 Reaction score 2,842 Dec 25, 2022 #9 Wala huna haja ya kuweka ngano. Mafuta yachemke vya kutosha halafu usiwai kiwageuza watameguka. Kaanga mpaka upande uive ndo ugeuze.
Wala huna haja ya kuweka ngano. Mafuta yachemke vya kutosha halafu usiwai kiwageuza watameguka. Kaanga mpaka upande uive ndo ugeuze.
T Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 8,470 Reaction score 17,245 Dec 25, 2022 #10 Wapakae samaki chumvi ya unga, kwisha mchezo.....
Z zwenge ndaba JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 2,039 Reaction score 3,613 Dec 25, 2022 #11 Pia ukiwaparua hakikisha umewaanika kidogo, maji yakauke kauke