Unawakumbuka wanamziki hawa ?

Unawakumbuka wanamziki hawa ?

Fugwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
1,676
Reaction score
664
Katika Tasnia ya muziki je, unawakumbuka hawa na nafasi walizokuwa wana-play????

1. LOKASA YA MBONGO

2. NGOUMA LOKITO

3.DALLY KIMOKO

3. BILEKU MPASI

4. DIBLO DIBALA

5. MOBILO

6. KANDA BONGOMAN

7. SHIMITAH

8.KABASELE YAMPANYA

9. YONDO SISTER

10. MADILU SYSTEM

11. BALLOU CANTA

Miaka ya 1990s mliokuwepo mnasemaje mavituzi yao ?
 
alous mabele yupo wapi

nyie wa digital

kabasele yampanya ndio pepe kalle
 
Umemsahau Boziboziana na wana Nouvelle generatio au Zipompapompa
 
Katika Tasnia ya muziki je, unawakumbuka hawa na nafasi walizokuwa wana-play????

1. LOKASA YA MBONGO

2. NGOUMA LOKITO

3.DALLY KIMOKO

3. BILEKU MPASI

4. DIBLO DIBALA

5. MOBILO

6. KANDA BONGOMAN

7. SHIMITAH

8.KABASELE YAMPANYA

9. YONDO SISTER

10. MADILU SYSTEM

11. BALLOU CANTA

Miaka ya 1990s mliokuwepo mnasemaje mavituzi yao ?

Wa Kwanza Ni Bingwa Wa Kupiga Rhythm Gitaa.
Anayefuata Ni Bingwa Wa Kupiga Bass Gitaa.
Afuatae Ni Bingwa Wa Kutekenya SOLO Gitaa Japo MFALME Ni Diblo Dibala.
Next Ndiyo Mwanzilishi Wa ATALAKU ( KUGHANI / KURAPU ) Kongo Nzima.
Next Ni Mwimbaji Mzuri Wa Sauti Ya Pili
Next Ni Bingwa Wa Kukata Mauno
Next Ni Bingwa Kubuni Styles Za Kucheza
Next Ni Mwanzilishi Wa Mapigo Ya SEBENE na Sasa Ni MAREHEMU.
Next Ni Mwanzilishi Wa Mapigo Ya VUANDILA.
Next Ndiyo Mwalimu Wa Mapigo Ya Taratibu ( Rhumba ) Kongo Nzima Na Sasa Ni MAREHEMU.
Wa Mwisho Ni Bingwa Wa KUPANGILIA NYIMBO na KUTUNGA Mashairi.
 
Gentamycine so unamkubali Diblo zaidi ya Dally Kimoko ?
 
Kuna Hawa.

1: Fede Lawu - Souci Album

2: Mbuta Likasu.

3: Mack Mackaire

4: Soule Ngofoman.

5: Lutchiana Mobulu - Eki bis, point deonteregation ,Karawa Albums

6: Sakis

7: Luciana Bokilo

8: Shaba Mahamba

9😛iere Belkos.

10: Alain Kounkou.

11: Stino Mubi - Romeo and Juliet

12: Reddy Amis.

13: Aurlus Mabele

14: Shimita El Diego

15: Damian Aziwa
 
Kuna sehemu nimekaa DJ kila siku lazima apige wimbo wa Ghato.
Ukitaka kumpenda ghatto tafuta azalaki se hawa, kaa kitako, mimina wine yako kwenye glass taratiiibu huku unaisikiliza. Hutaacha kumpenda. Sijui alikwama wapi huyu jamaa. Maana alivuma kama moshi tu na kupotea
 
Wa Kwanza Ni Bingwa Wa Kupiga Rhythm Gitaa.
Anayefuata Ni Bingwa Wa Kupiga Bass Gitaa.
Afuatae Ni Bingwa Wa Kutekenya SOLO Gitaa Japo MFALME Ni Diblo Dibala.
Next Ndiyo Mwanzilishi Wa ATALAKU ( KUGHANI / KURAPU ) Kongo Nzima.
Next Ni Mwimbaji Mzuri Wa Sauti Ya Pili
Next Ni Bingwa Wa Kukata Mauno
Next Ni Bingwa Kubuni Styles Za Kucheza
Next Ni Mwanzilishi Wa Mapigo Ya SEBENE na Sasa Ni MAREHEMU.
Next Ni Mwanzilishi Wa Mapigo Ya VUANDILA.
Next Ndiyo Mwalimu Wa Mapigo Ya Taratibu ( Rhumba ) Kongo Nzima Na Sasa Ni MAREHEMU.
Wa Mwisho Ni Bingwa Wa KUPANGILIA NYIMBO na KUTUNGA Mashairi.
Uchambuzi uliotukuka thanks upo vizuri.
 
Vibao vya hawa wadada vinanikosha sana:
mbilia abel kibao kinaitwa beyanga na huyu mpongo love kibao kinaitwa ndaya
 
Mpongo love alikua na sauti ya utatanishi, nyoka lazima atoke pangoni
 
Back
Top Bottom