Aliambukizwa Ana Miaka Mingapi Na Huyo Mumewe Na Ni Postive?
kashengo Unanichanganya Sasa Hapa Ulisemaje?
OKAY nilisema alikuwa HIV positive kwa kuwa mara ya mwisho nakumbuka 2012 niliona habari hii imeenea mtandaoni....ndio maana nimesema hivyo ila alikanusha mwenyewe na leo nimerejea kusoma tena kumbe kutokana na maudhui ya Movie yake ya 2006 "YESTERDAY" ndio uzushi juu ya yeye kuwa na HIV ulipoanzia
so she is HIV positive in the movies not in her Real LIFE
ni kweli ni moja kati ya kazi zilizofanywa kwa umakini na umahili mkubwa sana na hivi wanavotoa vimuv vyao hawa wa sasa hakika abadan haviwezi kuizidi hii kitu
Mango juice na chocs tena? wawezaje changanya hizo mambo atiii
Movie yao haichoki mpaka kesho
[/QUOTE
Sarafinaaaa!
HUYO aliyeigiza kama Sarafina (LELETI KHUMALO) ni moja kati ya mastaa Sadly wanaoishi na Virusi vya ukimwi huko kwa MADIBA, mara ya mwisho kumuona ni kwenye Hollywood movie ya HOTEL RWANDA