Unawakumbuka hawa....?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unawakumbuka hawa....??

Discussion in 'Sports' started by Sajenti, Apr 27, 2010.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kuna wachezaji wafuatao ambao katika timu zao walikuwa wakichezea nafasi za kiungo wa ulinzi namba 6 au kiungo ushambuliaji namba 8. Kwa maoni yangu mpaka wakati huu bado sijaona aina ya wachezaji wa kuwalinganisha nao. I wish hawa wachezaji wa soka wa nyakati hizi wangepata nafasi ya kuwaona nina imani wangejifunza vitu fulani adimu toka kwao.

  1. Nicodemus Njohole - Simba
  2. Ramadhani Lenny - Simba
  3. Juma Mkambi - Yanga
  4. Charles Boniface Mkwasa - Yanga
  5. George Kulagwa - Simba
  6. Athumani China - Yanga & Simba
  7. Octavian Mrope - Majimaji
  8. Hamis Thobias Gaga - Pilsner, Simba
  9. Khalid Bitebo Zembwela - Pamba
  10. Hussein Ngulungu - Pan African
  11. Mohamed Yahya Tostao - Yanga & Pan African
  12. Ezekiel Grayson " Jujuman" - Simba & Yanga
  13. Issa Athuman Mgaya - RTC Kagera & Yanga
  14. Ally Maumba - Coastal Union
  15. Saidi George - Coastal Union
  16. Charles Mngodo - CDA Dodoma
  17. Aston Padon - Tukuyu Stars & Simba
  18. Justin Mtekere - Tukuyu Stars & Yanga
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Sasa mbona wengine ni mawinga? eg Justin Mtekere - Tukuyu Stars & Yanga, George Kulagwa - Simba Lakini una kumbukumbu nzuri mdau, tatizo siku hizi viongozi wote njaa kali wanaganga njaa. Enzi hizo Yanga yuko babu Viran hana njaa
   
 3. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hussein Ngulunu na Ezekiel Greyson(RIP) walikuwa mawinga. Mohamed Tostao alikuwa mshambualiaji no. 9

  Ngoja nikupe namba sita za enzi hizo
  Gilbert Mahinya - 6 Tulikuwa tunamwita " Machine" wa Yanga
  Abdulrahman Juma- 8 ya Yanga- Bingwa wa kupiga corner
  Khalid Abeid - 6 ya Simba ya uhakika
  Omar Gumbo - 6 Sunderland kabla haijaitwa Simba
  Mwabuda Muhaji - 6 ya African Sports Tanga
   
Loading...