Unawajua Stunt Doubles!?

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,312
Reaction score
12,198
Kuna wale watazamaji wa movie ambao hudhania filamu nzima inapokuwa ikiigizwa basi wale masterling wake ndio ambao huwa wanahusika kwenye kuigiza complete set za filamu husika!. Well unachofikiria sicho kinachofanyika!

Kuna watu wanaitwa Stunt doubles hawa ndio ambao huwa wanahusika kwenye zile sehemu hatarishi (kuruka, kupigana etc) huku wakiachiwa mastar kuigiza sehemu za mazungumzo!. Hebu cheki hawa:-

Black Panther & Killmonger

The Rock & Couzin wake (stunt double wake kwa miaka 11)

Jumanji 2018

Terminator T1000

Iron Man

Man of Steel (superman)

Spiderman

Jason Bourne

Batman

Steve Roger (captain America)

Deadpool

Winter souldier

Wolveriene

Thor

Drax the destroyer

Black Widow

Star Lord
 
stunt doubles huwa wanakufa sana.ila jackie chan pekee ndio huwa anafanya mwaenyewe
Tony Jaa alikuwa stunt double akaamua kuacha aigize kabisa na yeye!. Tom Cruise, Matt Damon na Channing Tatum huwa wanafanya wao stunt sometimes!.
 
Mwisho wa yote tunachotaka sisi ni movie tupunguze mawazo nakulegeza bering ayo mengine watajua wenyewe.
 
Stunt double wa Ant-man ana mguu mmoja..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…