Mi enzi hizo nlikuwa standard five pale mpakani praimari skuli maeneo flan ya manzese. Kuna kundi lingine lilijiita seven komando.
Baadhi ya members wa hiyo komando yoso tulikuwa klasi moja lakin baadae washikaji waliasi skonga na kujiunga na komandoo yoso. Wakati huo hakuna bongo fleva wala hipu hopu, ni mwendo wa mnanda a.k.a. mchiriku. Ukipigwa mchiriku washikaji walikuwa wakitunza masikio ya watu yenye heren za dhahabu.
Ni kweli wengi waliuawa kwa kuchomwa moto au kupigwa. Lakin wengine waliendelea hadi kuwa majambazi sugu.
Dah!!! mkuu umenikumbasha mbali sanaaa. Umenikumbusha jinsi tulivyokuwa tukipenda kusoma. Madent enzi hizo tulikuwa tukishindana kushika namba klasi tofauti na madent wa sasa wanaoshindana kuhifadhi mistari ya bongo fleva. Enzi tulikuwa tuikibadilishana kushika namba 1, 2, 3, 4 na 5 tofauti na sasa mtu anashika 1 mwanzo mwisho.