Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 5,310
- 7,196
Mimi sina nnachojua kuhusu hii Biashara, kuna jamaa yangu anataka kununua Asali ya kutosha kwa ajiri ya biashara...
Anataka Picha ya Asali yako ili aone rangi yake na uzito au wepesi wake, nitumie picha inbox, tafadhari usipige picha ya madumu yako au Chupa, piga picha kwa mfano wa picha hapo chini, yule atayekua fasta uwenda ikawa zari lake, akisharidhika na mwonekano wa asali yako ndo mtazungumza Bei.
Picha iwe kama hivi.