Unatumia Software Gani Ku Convert Videos [PC]

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,523
Reaction score
2,165
Mi natumia Xilisoft Video Converter 7.7.2 (cr4cked)

Ina

  • Convert more than 160 video and audio formats
  • Convert HD videos, up to 1080p and 4K video !
  • Convert 2D movies into 3D
  • 5X Speed Promotion with GPU acceleration

n.k
 
tumia format factory ni proffessional converter....
 
Ingekua vizuri ukatumia professional Tools kama Adobe Premiere CS6 au Premiere CC 14 kama unataka convert video zako katika HQ kwa sababu, tofauti na Converter za kawaida Premiere inakupa options kibao ambazo ni fully customizable. .. Kwa converter za kawaida AVS Converter ina uwezo sana..
 
watu waongo balaa, eti 2D to 3D ilimrad uchukue to software yao!
 
Hahaaa kitu ambacho ni unrealistic kabisa !

Hakuna zaidi yakuongeza Size tu na kupunguza Quality ya video yenyewe !
 
Ingekua vizuri ukatumia professional Tools kama Adobe Premiere CS6 au Premiere CC 14 kama unataka convert video zako katika HQ kwa sababu, tofauti na Converter za kawaida Premiere inakupa options kibao ambazo ni fully customizable. .. Kwa converter za kawaida AVS Converter ina uwezo sana..

Yap it's true !
Back then

kwamatumizi yakawaida tu !
Tunatumia vi software vidogo vidogo tu ! Kama Total video converter, Any video converter et al

ila for serious stuff nothing else can we pick rather than Adobe premiere, Sony vegas e.t.c
 
tumia format factory ni proffessional converter....
mimi pia naikubala sana hii software maana wanaitoa bure!!
Hizo nyingine ambazo zina crack naona kama dhambi kutumia maana nina software kibao amabazo ni cracked!
 
Back
Top Bottom