Unatumia nguvu kuangamiza wachache kwa manufaa ya wengi baadaye unashuhudia wengi wakiyaua manufaa uliyowaletea unakasirika unapata presha unakufa

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Elimination ni moja prinsiple inayotumika katika jamii zisizoamini katika madajiliano na Uhuru wa kusema.

Watawala wanaoamini kwenye elimination siku zote uwa na kiu ya kuona Yale wanayoyawaza ndiyo sahihi na hivyo kumpinga Ni sawa na kumzuia kuyafikia Yale aliyopanga.

Mara nyingi watawala wa aina hii uwa na malengo mazuri na makubwa sana juu ya walio wengi.

Watawala hawa wakitumia mbinu ya elimination kwa muda flani ujikuta wametengeneza visasi na damu za walioondolewa kwenye maeneo flani ulia ndani yao na kuwafanya kuona Kama roho ya kisasi imejengwa kwa wanaomzunguka.

Walioshiriki kuchongea na kushauri pamoja na Mtandao wa elimination uwekewa uzi mweusi kwa maana kuwa nyayo zao ufuatiliwa wasije kwa namna moja au nyingine wakavujisha Siri au wakapandwa na ukichaa na kuamua kueliminate hata wasiohusika.

Watenda maovu haya umfanya mtawala kuamini kwamba flani ni adui na flani afai then wao ndio wanafaa.

Hakuna ukomo mzuri kwa elimination theory Bali Ni kuondoka tuaribu kwa lengo la kufuta mazuri yako. Watawala wanaposhuhudia uharibifu upatwa na ghadhabu na kuugua kisha ufa.

Wakati mwingine uondolewa kwa nguvu, wakati mwingine ufunguliwa mashtaka nk

Kwa vile elimination ufanywa na mtu zaidi ya mmoja Siri ukosekana na maisha yote ya Taifa ubaki kuwa Taifa la visasi na watu usaka madaraka kwa lengo la kuwakomoa wengine. Wengine ujifanya wajinga na watiifu lakini lengo lao Ni kupata madaraka na kulipiza kisasi.

Haya ndiyo yanayompata mzee wa sudani, aliingia vizuri akatoka vibaya. Wengine wamegoma kutoka wanajiita kota pini, maisha Ni maridhiano na hakuna mtu mwenye hati miliki au uchungu na dunia kila mtu ana uchungu na nafsi yake.

Wakisema wana uchungu na dunia waangalie Kama kila wanapopata taarifa za msiba wanalia kama wanayopata taarifa za watu wao wa karibu.

Hakuna maskini anayependwa na mtawala wala tajiri asiyependwa na mtawala.

Watawala wote wangetamani matajiri wawaunge mkono.
 
Elimination ni moja prinsiple inayotumika katika jamii zisizoamini katika madajiliano na Uhuru wa kusema. Watawala wanaoamini kwenye elimination siku zote uwa na kiu ya kuona Yale wanayoyawaza ndiyo sahihi na hivyo kumpinga Ni sawa na kumzuia kuyafikia Yale aliyopanga.
Mara nyingi watawala wa aina hii uwa na malengo mazuri na makubwa sana juu ya walio wengi.
Watawala hawa wakitumia mbinu ya elimination kwa muda flani ujikuta wametengeneza visasi na damu za walioondolewa kwenye maeneo flani ulia ndani yao na kuwafanya kuona Kama roho ya kisasi imejengwa kwa wanaomzunguka.
Walioshiriki kuchongea na kushauri pamoja na Mtandao wa elimination uwekewa uzi mweusi kwa maana kuwa nyayo zao ufuatiliwa wasije kwa namna moja au nyingine wakavujisha Siri au wakapandwa na ukichaa na kuamua kueliminate hata wasiohusika.
Watenda maovu haya umfanya mtawala kuamini kwamba flani ni adui na flani afai then wao ndio wanafaa.
Hakuna ukomo mzuri kwa elimination theory Bali Ni kuondoka tuaribu kwa lengo la kufuta mazuri yako. Watawala wanaposhuhudia uharibifu upatwa na ghadhabu na kuugua kisha ufa.
Wakati mwingine uondolewa kwa nguvu, wakati mwingine ufunguliwa mashtaka nk

Kwa vile elimination ufanywa na mtu zaidi ya mmoja Siri ukosekana na maisha yote ya Taifa ubaki kuwa Taifa la visasi na watu usaka madaraka kwa lengo la kuwakomoa wengine. Wengine ujifanya wajinga na watiifu lakini lengo lao Ni kupata madaraka na kulipiza kisasi.

Haya ndiyo yanayompata mzee wa sudani, aliingia vizuri akatoka vibaya. Wengine wamegoma kutoka wanajiita kota pini......maisha Ni maridhiano na hakuna mtu mwenye hati miliki au uchungu na dunia kila mtu ana uchungu na nafsi yake. Wakisema wanauchungu na dunia waangalie Kama kila wanapopata taarifa za msiba wanalia kama wanayopata taarifa za watu wao wa karibu. Hakuna maskini anayependwa na mtawala wala tajiri asiyependwa na mtawala. Watawala wote wangetamani matajiri wawaunge mkono.
Akina mwigulu, nape, jmakamba wanajifanya watiifu kwa jiwe lakini tcra iliwaumbua
 
Watakuelewa wachache sana wenye akili

In God we Trust
 
Mwigulu Nchemba njoo ujibu na huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
iddi amini alimwua mke wake

roho kama izi watu hazaliwa nazo

criminal are born
 
Akina mwigulu, nape, jmakamba wanajifanya watiifu kwa jiwe lakini tcra iliwaumbua

Ni sawa waliwaumbua lakini kumbuka walivunja sheria ya nchi, Katiba yetu pamoja na ubovu wake ingawa sikumbuki kifungu inatoa haki ya kuwa na faragha, mazungumzo yako hayatakiwi kuingiliwa. Kwa hiyo siku ya siku wenye madaraka leo TCRA wana kesi ya kujibu huko mbeleni tutakaporudi kwenye utawala wa sheria.
 
>>CRITICAL MASS ☢ ☢☢🧨⏰
1582364605446.png
5....4....3....2....1....💥💀
 
Back
Top Bottom