EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,712 Aug 21, 2022 #1 Mada ipo wazi tuambie unatumia kiswaswadu gani na "mama yake" smart gani? Naanza mwenyewe Smart phone ni Samsung Note9 na kiswaswadu ni Nokia 3310
Mada ipo wazi tuambie unatumia kiswaswadu gani na "mama yake" smart gani? Naanza mwenyewe Smart phone ni Samsung Note9 na kiswaswadu ni Nokia 3310
Tyrex JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 2,443 Reaction score 5,306 Aug 21, 2022 #2 Natumia Huawei P30 pro na Nokia 5310
Nyamwage JF-Expert Member Joined Oct 16, 2020 Posts 759 Reaction score 1,873 Aug 22, 2022 #4 Kuwa na simu ya smart kwa kipindi hiki alafu tena una kisimu kidogo pembeni hizo ni zama za kale za mwaka 2014 Samsung yangu s5 ilinitesa sana na swala la kuisha chaji mapema ikabidi niitafutie bimdogo kiswaswadu wa kumsaidia
Kuwa na simu ya smart kwa kipindi hiki alafu tena una kisimu kidogo pembeni hizo ni zama za kale za mwaka 2014 Samsung yangu s5 ilinitesa sana na swala la kuisha chaji mapema ikabidi niitafutie bimdogo kiswaswadu wa kumsaidia
richie ze best JF-Expert Member Joined Nov 4, 2013 Posts 600 Reaction score 1,026 Aug 22, 2022 #5 Shida nina mambo mengi mno,lazima kism kidogo kipotee
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 21,039 Reaction score 48,152 Aug 22, 2022 #6 Xiaomi Mi lite 11 Sihitaji kitochi Ngoma inapiga Kazi saana