Unatenga kiasi gani kufukuzia mwanamke?

Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
2,649
3,162
Habari wakuu

Kuna kibinti hapa kitaa nimekielewa sana
Sasa changamoto ni kuwa kikipata shida flani kinakuja kuniomba ila majuzi tuliweka promise kije home tuongee issue flani kikapotezea ingawa najua kashahisi nnachotaka kumwambia

Muda sio mrefu kapita hapa home wakiwa na rafiki yake nikiwa nafua kanipiga mzinga wa nauli Nimekapa Faru John

Mpaka sasa imefika karibu 8000/= yangu ila ni kama naona natoboka tu afu kanapotezea mchongo wangu

Je nifanye nini kukanasa maana huwa kananiheshim na huniita uncle na juzi kalipotezea mwito wangu kalinambia katakuja ikawa nehi ila muda huo huo nkawa nakaona tu kwao kamekaa kanapiga story na tudume dume twa hapa mtaani afu leo kamesahau kanajileta na shida zake.

Kukapanga tena eti kaje nahisi kama ntaonekana fala vile.
 
Hivo vitoto vinamambo mengi sana mkuu, utoto mwingi.

Ukitaka uendane Nako nawewe lazima ujishushe uwe kama kenyewe, siku katakuita mkacheze mdako wotee

Nimecheka sana aise!!!!
Na mnavyokadunisha sasa, kama katoto kweli ka kama miaka 9 hivi!!
 
Back
Top Bottom