sumu-ya-panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 632
- 571
Nakereka natabia za watoa huduma kwa wateja wanaoniambia nkusaidie nini? au unatatizo gan?
Unakuta mtu umeamua kupiga customer care vodacom kana pokea kadada kanajitambulisha vizuri alafu kinasema nkusaidie nini tafadhali?
ivi nikikaambia nataka kanisaidie kubeba mimba yangu kataweza kweli? wkt toka napiga naambiwa kanahudumia mwingine..
au unakuta mwanaume anajitambulisha vizuri alafu anakwambia unatatizo gani? nikimwambia nina njaa anaweza nipatatua?
Alafu kuna namba ya vodacom imeanza na +255901761234 inakupigia unapokea vizuri gafla unasikia mdada anasauti nyororo anasema ''hi mimi ni msichana mrembo natafua '' moyo unasuuzika gafla simu inazima chaji.. nakuja kupiga namba yake linapokea jidume sauti ka katoka motoni jana karibu vodacom,,,, hivi vodacom mmeona mcheze na hisia zetu.