Sasa basi katika mazungumzo ya hapa na pale ule muda wa offtime akaniambia unatakiwa uoe wanawake wawili, mimi sikujali nikajua kawaida ya story tu.
Sasa leo nimegundua wanawake wana roho nzuri sana, kuna msemo husemwa '' kizuri kula na wenzio'' hawa viumbe huwa sio wachoyo!
Unahitaji namba mkuu!