unataka utoke wkend na mpoleeee?

Mpolee umechosha na thread zako za kijinga jinga pambafu zako. @ Saas bigup huu ni more than uharo
 
Mpolee umechosha na thread zako za kijinga jinga pambafu zako. @ Saas bigup huu ni more than uharo

I agree with u! Lkn huwa kuna post nyingine more uharo than huu, zinazoanzishwa na wanaume, hatuzipondi kihivi na mara nyingi tunaparticipate in huo uharoutani!

Mpolee amekuwa akitafuta uceleb; alikaribu kuwa anachangia points, haikumtoa but since amekuwa akipost vitu kama hivi kapata umaarufu in her own way.

Let her be, mradi hajamtusi mtu; it is her personality in stake which can be fake as well!

Mwisho, tuache double standard women also have a right to talk dirty, fantasize, flirty and have fun kama wanaume!
 
@Kaunga nimeishiwa maneno maana umekuwa more gender sensitive
 
Mpolee umechosha na thread zako za kijinga jinga pambafu zako. @ Saas bigup huu ni more than uharo

pumbav zako mwenyew ndio zenyu kupenda pelekesha wenzenyu. Umelazmishwa kuingia hapa? Ww ni kidume unataka kutoka na mm? Kwenda zako kule na usinipelekeshe! Natafta mtu anae jua maana ya kutoka na kula maisha hapa jijin. Hupendi log out!
 
toka nimejiunga hakuna memba kaongea la msing kama ww. Nilmtoa nishai kidume ambae anaonekana anatumia ke vibaya kwa gx ya kuazma watu wakatapka hadi kuachia.
 
kigezo kingine tuktoka kesho yake tunaenda wote kansan
 
ktk thread yako moja ulidokeza kuwa ulitokea facebook.ukafunga A/C eti kwa sababu majamaa wa FB walikuwa wanakusumbua.sasa naona unaleta utoto wa FB JF.
 
miaka kadhaa ijayo chit chat itakuwa popular kuliko MMU labda na jukwaa la siasa..[/QUOTE] .........and that would pronounce the death of Jamiiforums and rebirth of darhotwire
 
ktk thread yako moja ulidokeza kuwa ulitokea facebook.ukafunga A/C eti kwa sababu majamaa wa FB walikuwa wanakusumbua.sasa naona unaleta utoto wa FB JF.

kasome upya utagundua wamenivunjia mahsiano ya miaka 5 sas nimeamua kula maisha kwenda mble haina maana kuwekeza mahsiano wkt yanavunjika aaarrrgh! Alaf mm c mtoto nishakomaa
 
Bado hawajajitokeza. . . ?

nashangaa vidume vya hapa maneno meeeeengi lkn maombi kwa prvt msgn. Naona wana wapenz wao hap waogop kujtangaz ktka na mpoleeee
 
nashangaa vidume vya hapa maneno meeeeengi lkn maombi kwa prvt msgn. Naona wana wapenz wao hap waogop kujtangaz ktka na mpoleeee
Sasa kama wameshajitokeza huko mbona unaongeza vigezo hapa? Hawajafikia kiwango?
 
Kuna ugonjwa fulani ulikuwa unaambukizwa kwa kutumiwa bahasha yenyeb white powder unaitwa kimeta. Ulikuwa gumzo baada ya Sept 11. Nahisi kimeta umeanzwa kuambukizwa kwa njia nyingine tofauti
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…