Unataka ufanikiwe?

Unataka ufanikiwe?

Scott junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
2,435
Reaction score
3,262
Maisha ili ufanikiwe unatakiwa uwe na stress ambazo zitafanya upambane sasa umekaa kwenye chumba cha 25k kwa siku ukiingiza 5k umeshamaliza na huna stress.

We panga ata nyumba Kwa 200k uone stress zitafanya upambane, uingize hela nyingi ulipe bills za vitu na utapambana ujenge fasta kuepukana na hizo gharama.

Ila wewe chumba 30k unazani utapambana kujenga haraka watu, hawajengi kwasababu kodi ndogo, watu wanajenga kwasababu Kodi kubwa .🫡
 
Maisha ili usonge mbele yanahitaji discomfort zone, ukiona umerelax na kuridhika na ulicho nacho basi sawa but usiwatumbulie macho wanaokuzidi.
 
Maisha ili usonge mbele yanahitaji discomfort zone, ukiona umerelax na kuridhika na ulicho nacho basi sawa but usiwatumbulie macho wanaokuzidi.
Very sentiment, comfort zone imekuwa kama kimbilio rahis la maelezo ya wengi kati yetu kuchambua sababu za mtu kuwa maskini. Lakini comfort na relaxation havin maana sawa
 
Unaweza ukapambana, lakini usifanikiwe.

Mafanikio ni mfumo, siyo unatumia Nguvu gunia akili kijiko hapa lazima utafeli tu.
Tumia akili gunia nguvu kijiko na akili yako itakuwa bize kutafakari halafu utakuwa na stress hadi ufanikiwe ndicho alichokimaanisha mtoa mada.
 
Umeandika simple sana, mambo hayapo hivo on ground!!!! Hii ni mitandao na si uhalisia ibakie hivyo hivyvo
 
Back
Top Bottom