Pambafff kwani mkataba wenu wa kuoana una kipengele kinachozuia ndugu wa kiume wa mke kuwa karibu na familia baada ya kuolewa? Acha wivu ama umuoe dada yako ili sifa zibaki nyumbani kwenu
Kama sio handsome unataka uitwe handsomePovu la nn?
Ukishindwa kusifia mumeo alafu unaenda kumsifia mume wa mtu
Kama sio handsome unataka uitwe handsomeaisee mm ntakuita sura mbaya ukinuna kufa
Mume anasifiwa kwa muda wake na wengine kwa muda wao usipanic hovyo haana hata mungu asifiwi muda wote kuna wanaomkufuru pia usisahau hili
Ulimzaa wewe? so hata baba yake mzazi unamuonea wivu akimsifia bintiye siyo?Povu la nn?
Ukishindwa kusifia mumeo alafu unaenda kumsifia mume wa mtu
Kwan ww sindo umepropose,
Sasa kwanini usingeolewa na mahandsome umekuja kwa sura mbaya
Mijitu yenye wivu kama wewe hampaswi kuozwa mabinti zetu, maana ninyi hamchelewi kuwaza magunia ya mkaa pale mnapoota ndoto za wenzi wenu kupendwana wengine...hakuna kipimo cha kujua usahihi wa mtu kwenye mahusiano!kwani ww ndo babake, au hujui Mzazi huwa anafurahi akiona mwanae amepata mtu sahihi
Ndio chaguo la moyo sasa hamna namna😂😂. Ila kusifiwa handsome akati sio ni dhambi hyo,na tumeambiwa tusiseme uongo.,
Sasa kwanini usingeolewa na mahandsome umekuja kwa sura mbaya