Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,789
- 2,903
Habari wanajukwaa , Hongereni kwa kuendelea kulijenga taifa.
kuna kijitabia kimejijenga especially kwa wa ubavu wetu, (wadada)
Nasema Wadada kwasababu ndo sana.
Unakuta mdada anampost either rafiki au kaka yake, whatever kwa lengo la either kumuwish birthday au graduation .
Ila sifa anazompa mpaka unashangaa kwakweli.
Inawezekana sometime huyo dada ameolewa na anandoa au ana mahusiano ila anamwagia sifa kaka yake, sifa nyingine hata hata huyo soulment wake hajawai ziambulia
Mfano. Handsome wetu
- kipenz chetu
- kichwa chetu hicho na mambo mengine mengi!
Siyo ajabu ila kitu cha kushangaza ni kuwa hiv ajui kuwa anamahusiano?
Na je anayaweka mahusiano yake especially yule ampendaye katika wakati mgumu.
Mfano ukimuacha mtu wa hivi ni dhambi?
Ni mtazamo tu.