wadada tupo....tunasemaga hivyo kwa kuwa unakuta mtu umekuwa na uhusiano na mwanaume,unafikiri mna nia mamoja kumbe mwenzio kwake wewe ni part time au mlupo....kuna ambaye anamfikiria na pengine anaye wa future ambayo unafikiri wewe ndo unayo kwake.....mimi nafikiri naweza sema tulichezeana if tutakuwa tumeamua kabla ya uhusiano wetu kuwa we are just having fun au pass time......ila unaponidanganya then ukani let down bila sababu hapo nitasema nilichezewa......
Rev.....:rain:
Mbona wadada nao hubwaga wakaka bila hata sababu ya msingi lakini sisi wanaume huwa tunavulia na kuanza mbele bila kuweka la kucheweza. Sijawahi sikia mwanaume akidai kacheweza na mdada! Ina maana waume ndo wachezaji peke yao????
Mchungaji!!!! Mi naona itakuwa tumechezeana kama tumekubaliana tunachezeana.
Lakini sio mimi nawaza Kaskazini na wewe Unawaza Mashariki.
Alichokisema Michelle hapo juu ndo nakimaanisha.
Kuhusu mdada kumbwaga mwanaume hata yeye amemchezea, kwa misingi hiyo hiyo.
Muda, akili.......................................
mimi nafikiri naweza sema tulichezeana if tutakuwa tumeamua kabla ya uhusiano wetu kuwa we are just having fun au pass time......ila unaponidanganya then ukani let down bila sababu hapo nitasema nilichezewa......
Rev.....:rain:
Mbona wadada nao hubwaga wakaka bila hata sababu ya msingi lakini sisi wanaume huwa tunavulia na kuanza mbele bila kuweka la kucheweza. Sijawahi sikia mwanaume akidai kacheweza na mdada! Ina maana waume ndo wachezaji peke yao????
Anti samahani, hivi nyie akina dada mnaweza kukubali kutoa tunda kwa makubaliano ya kwamba tuchezeane halafu baadaye tusijuane? Manake hata mimi huwa natumiaga gia ya "'together in future'" ili nipate ninachokitaka kwa sababu nikiomba kuchezeana peke yake nahisi kama nitatoswa vile... Hebu nifungue macho basi.

nimewahi sikia wanaume wakilalamika kuwa wametumiwa na wasichana...hawasemi wamechezewa but the meaning ndo ile ile kuwa amepotezewa muda au kudanganywa na msichana....it can be done by both sides!
Anti samahani, hivi nyie akina dada mnaweza kukubali kutoa tunda kwa makubaliano ya kwamba tuchezeane halafu baadaye tusijuane? Manake hata mimi huwa natumiaga gia ya "'together in future'" ili nipate ninachokitaka kwa sababu nikiomba kuchezeana peke yake nahisi kama nitatoswa vile... Hebu nifungue macho basi.
inategemea na exposure ya mtu, kuna wanaume wanasema kabisa....i just wanna have some fun with you......hasemi kuchezea,thar would be insane! ofcoz wanaume wengi wa kitanzania ndo zao kutumia gear ya future.....ila pia nimeona wasichana wanaotaka just to have fun na wanaume hapa hapa Tanzania.....kitaeleweka tu....
Huwa inapendeza sana ikiwa mkaka atakuwa wazi hasa kuhusu nia yake kwa mdada. Siyo lazima useme kuwa unamchezea tu waweza tumia neno tofauti lenye maana sawa na hiyo. Wapo wadada wengi tu ambao wao huwa hawahitaji mtu wa future...Hivo ni vema kuwatafuta hao kuliko wampotezea mda mtu mwenye malengo yake ya kuwa nawe maishani.

Hapo penye red, mazingira ndiyo hutupelekea kuwa hivyo dada'ngu, labda muanze kubadilika na kuwa wazi...
Hapo penye red nitapafanyia kazi, ila na nyie punguzeni kuficha mambo Bana mrahisishe maisha, manake haya mnayasemaga kwa keyboard tu,,, tukikutana live i bet you will be after future too!!!
Hapo penye red nitapafanyia kazi, ila na nyie punguzeni kuficha mambo Bana mrahisishe maisha, manake haya mnayasemaga kwa keyboard tu,,, tukikutana live i bet you will be after future too!!!
Anti samahani, hivi nyie akina dada mnaweza kukubali kutoa tunda kwa makubaliano ya kwamba tuchezeane halafu baadaye tusijuane? Manake hata mimi huwa natumiaga gia ya "'together in future'" ili nipate ninachokitaka kwa sababu nikiomba kuchezeana peke yake nahisi kama nitatoswa vile... Hebu nifungue macho basi.
Nashukuru ikiwa utapafanyia kazi maana jambo hilo huwa linasumbua sana.
Ni kweli mimi niko after future....Sihitaji mtu wa kunipotezea muda wala kumpotezea muda ikiwa najua siko tayari kuwa naye maishani.
Inapendeza kumwambia mtu ukweli pasipo kificho...Kuyatenda yale tupendayo kutendewa na wengine.