Unataka FB Page ya kupost Bure,Karibu nikusaidie

Unataka FB Page ya kupost Bure,Karibu nikusaidie

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,392
Page ina likes 100k.
Talking about ni from 20k
people follow this 111k

Nitakuunga kama editor uwe una post just free lakini kwa masharti yafuatayo.

1:Husiwe na website/blog iliyo na pop up ads kama propeller nk
2:Husiweke porn sites au images za ngono/uchi.

Kwa sasa siitumii,thats why nasaka anayetaka kuitumia maana siuzi.

Karibu
 
Hata uwe na like nyingi kiasi gani kulipia na kutarget watu wako ni muhimu bila hivy nakwambia post haionekani hata kwa watu waliolike page
 
Hata uwe na like nyingi kiasi gani kulipia na kutarget watu wako ni muhimu bila hivy nakwambia post haionekani hata kwa watu waliolike page

rudi shule brother. hapo iringa kuna jamaa yangu mpe hi
 
mim ninazo mbili kk sizitumii naziuza moja ina 16k nyingine ina 10k anayetaka aje pm
 
Mi nina page 103k. Kupost bure. Tuwasiliane pm
 
16k nauza 75000 tu
10.5k nauza 55000 tu karibu

Nataka nijue swala la engagemant........maana najua kuwa baadhi ya watu huwa wana boost hizi page.Kitu kingine ningependa nipate overrall ya audience ni wa nchi gani kwa wingi.

au njoo inbox mkuu...........tueleweshane zaidi
 
Nishakupm
 
Back
Top Bottom