Unataka awe boss wako ama wewe uwe boss wake

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,341
Hivi embu tupeni experience mlioko kwenye mahusiano ama ndoa, mumeo ni boss wako kazini ama mkeo ni boss wako kazini.

hivi unaweza kua boss wa mumeo ama mkeo kazini na mkaishi vizuri na kupendana bila matatizo yoyote wala kujihisi inferior(yani status yako ama heshima yako kushuka) kwa mwenzio, je ewe mwanaume unaweza? Ewe mwanamke unaweza?
 
Inawezekana kabisa mkuu. Nimekuwa boss wa mke wangu kwa seven years kabla ya yy kuhamia sehemu nyingine. Changamoto iliyokuwepo ni kwamba mm ndo napitisha payment kabla hazijaenda kwa boss wangu for those seven years sikuwahi mpitishia malipo wakati wengine nilikuwa nawapitishia hapo ndo kidogo tulikuwa tunapishana na nilifanya hivyo ili tu watu wasije ona nampendelea wife.
 
Wee naye, yaani malipo yake halali umbanie kisa unawafurahisha watu!!!!
 
Inawezekana kabisa mkuu. Nimekuwa boss wa mke wangu kwa seven years kabla ya yy kuhamia sehemu nyingine. Changamoto iliyokuwepo ni kwamba mm ndo napitisha payment kabla hazijaenda kwa boss wangu for those seven years sikuwahi mpitishia malipo wakati wengine nilikuwa nawapitishia hapo ndo kidogo tulikuwa tunapishana na nilifanya hivyo ili tu watu wasije ona nampendelea wife.
Unaogopa kumpendelea wife

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kabisa mkuu. Nimekuwa boss wa mke wangu kwa seven years kabla ya yy kuhamia sehemu nyingine. Changamoto iliyokuwepo ni kwamba mm ndo napitisha payment kabla hazijaenda kwa boss wangu for those seven years sikuwahi mpitishia malipo wakati wengine nilikuwa nawapitishia hapo ndo kidogo tulikuwa tunapishana na nilifanya hivyo ili tu watu wasije ona nampendelea wife.
Unapitisha tu
 
Ulimfanyia dhuruma kubwa ulimfanyia mkeo.
 
Inawezekana kabisa mkuu. Nimekuwa boss wa mke wangu kwa seven years kabla ya yy kuhamia sehemu nyingine. Changamoto iliyokuwepo ni kwamba mm ndo napitisha payment kabla hazijaenda kwa boss wangu for those seven years sikuwahi mpitishia malipo wakati wengine nilikuwa nawapitishia hapo ndo kidogo tulikuwa tunapishana na nilifanya hivyo ili tu watu wasije ona nampendelea wife.
Duuh kwaio mlistaafu mkuu au mliangalia opportunity nyingine

What goes around always comes around
 
Back
Top Bottom