Nasakadoo
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 343
- 169
REPOST:
Sina Elimu ya Juu saana, lakini naweza kufanya kazi mojawapo kati ya hizi:
√-Marketing
√-Project/Firm Managements(naweza kusimamia miradi mbali mbali kama Restaurant,Bar&Pub,Ranch,Duka la aina yoyote,n.k.)
√-Udreva (hapa nina leseni nilipata mwaka 2013 yenye daraja A,B,D&E). Naweza kuendesha magari ya mashirika,kampuni,mtu binafsi kama kumpeleka kazini na some occationals, e.t.c
√-Kuuza Duka,Stationary, n.k.
Nomba kama kwenye Kampuni/Asasi uliyopo wewe msomaji kuna kitengo mojawapo kati ya hivyo, please kuwa msaada kwangu! Sina kazi kwa sasa.
Unaweza kuwa wewe binafsi unatafuta mtu wa kukufanyia kazi kwenye mojawapo ya hizo kada au akawa jirani yako, ndugu, jamaa, n.k. Naomba unisaidie kupata kazi.

Ndugu, mimi naishi Dsm, maeneo ya Mbezi ya Kimara ,jinsia yangu ni Me miaka 26 sasa. Nipo tayari kufanya kazi eneo lolote, mkoa wowote muda wowote halali.

Nitashukuru saana kama nitafanikiwa kupitia wewe.
UBARIKIWE SAANA

+255 718 651 174
WhatsApp and Normal Calling&Sms