Unasubiri nini kuwa mwana CCM?

Ivi kwenye Ilani YENU na hii ya kukatakata Umeme ni Sehemu Yake, tired of this Shit.
 
Kwani mkuu wewe kuangalia kadi za kliniki za wanao ni kosa? Yani ni mpaka uombe ruhusa kwa wife?

Hebu kuwa serious mkuu, wewe chukua kadi za wanao wote kisha angalia kila mmoja amescore ngapi out of 10.

Unataka kusema Huyu Chawa ali score ngapi ?
 
Ahaaa kumbe siku hizi mmeipiku hata ANC kwa ukongwe?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…