Unasubiri nini ??dar kgl j3,j4,j5,,ijumaa na jumapili 509 usd rt na rwandair | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unasubiri nini ??dar kgl j3,j4,j5,,ijumaa na jumapili 509 usd rt na rwandair

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Pdidy, Jul 31, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,413
  Likes Received: 5,682
  Trophy Points: 280
  Tar 02 aug
  kampuniya ndege ya rwandair inaanzisha safari zake rasmi siku 5 kwa wiki tanzania nazo ni
  jumatatu jumanne,,jumatano,,iumaa jumapili..kwa wale waliokuwa na shida ya kurudi siku inayofwata kuwahi kazini
  sasa tumekupelekea safari yako mpaka mlangoni ...rt 509 usd ow 377 usd wahi haraka
  wasiliana  +255 717 29 49 48
   
 2. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Hakuna '*' kwenye offer yako?
   
 3. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,788
  Likes Received: 6,301
  Trophy Points: 280
  Mbona ''tangazo'' lako limekaa kihunihuni??

  Si ungesema tu RT = Return na OW = One Way. Watu wengine tumesoma shule za kata na inachukua kuda mrefu sana kufigure out vitu kama hivi
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,413
  Likes Received: 5,682
  Trophy Points: 280
  Si ndio hiyo mkuu 509 usd rt
  ow 377 usd

  na bujumbura sasa ni 367 usd ow na rt 557 usd mkuu kazi kwako tunakufika mpaka ulipo
   
Loading...