Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

nyimbo moja jina siijui ila mashairi yake ni

masudi amekua jambazi,
ukikutana nae usiku mpitie mbali,
kama si hivyo atakudhuru baba....
 
Turning a Table by Adele
Called Water Cover by Donel Mangena
Bila kusahau Instrumentals Za KENNY G nasinzia kabisa
 
KalaPina_umoja ni nguvu.

Kudadeki flow ya kibabe...
"Nishajitoa muhanga zaidi ya Yesu msalabani/
zaidi ya Yesu msalabani/"
 
IMG_6544.JPG
 
Nelly&jeremiah-the fixer

Sema ndio unaishia

Joana nyimbo inatwa "THE FIX" rekebisha kidogo sababu ulivyoweka ER mwishoni imebadilisha maana kabisa ya huo wimbo, any ways mimi nipo na "grass ain't greener by Chriss brizy...
 
The Carters!!!![emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]

Hizi flow za Jigga kulaaake ni hatari zaidi ya tank la mafuta[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

I'm a gorilla in the fuckin' coupe
Finna pull up in the zoo
I'm like Chief Keef meet Rafiki—who been lyin' "King" to you? (woo)
Pocket watchin' like kangaroos
Tell these clowns we ain't amused
'Nana clips for that monkey business, 4-5 got change for you
 
Back
Top Bottom