thatonegAl
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 825
- 1,886
Yani ina kaujumbe kazuri kweliNyimbo nzur hii
Yani ina kaujumbe kazuri kweliNyimbo nzur hii
Wimbo Safi sana huu,waliutendea haki.Noorah & Mwana FA- UNANITEGA
Rip father..Nini dhambi - Xplastaz
Leo ndio siku ambayo Legendary Faza Nelly aliuwawa.
Ni miaka 13 sasa. R.I.P Faza.
Mkuu, umri umesogea kweli au utamu wa Remi Ongola tu.Lemi ongala MATIMILA ,narudi nyumbani.
Umenipa madaraka ya kulevyaMkuu, umri umesogea kweli au utamu wa Remi Ongola tu.
"Anagawa kama biskut."nasikiliza mapepe ya kingwendu
Sijakusoma Mkuu,Umenipa madaraka ya kulevya
Ni wimbo niliokuwa nausikilizaSijakusoma Mkuu,
Unamaanisha nini.