nywele za jk vipi tena
ni vumbi tu au kasahau kusafisha nywele?
Mama jk jibu hili swali.
RAS MAKUNJA anafuatilia kwa makini sana,, huku akisema "alaaa!! kumbe nyinyi mnaelewanaaa!!"
naona DJ anapokea maneno ya busara
kumbe tuko wengi ila jaribu kuunganisha nukta na hapa nadhani utapa hata tumawazo tuwili tutatu na hilo neno MICHUZI: Ras Makunja aokoa jahaziHuwa sielewagi maana ya hili neno. Huyo ni nani na kwanini anapata umaarufu ivo.
naomba nimjibie
Mchango wako na avatar yako vinashabihiana sananaona DJ anapokea maneno ya busara