Unasemaje kuhusu hizi picha?

Na uzuri/utam wa mwamvuli uushike mwenyewe ili uweze kujiwekea panapostahiki labda kama kuna kazi ya ziada mikono inaifanya so ukashindwa kuushika mwenyewe.Kingine labda ktk masuala ya romantic kushow love/care naweza kumshikia babyooo ama yeye kunishikia.
 
naona wameona ni uchochezi ila picha ilikuwa inaonyesha trump kajifunika mwamvuli mwenyewe na Obama hivyohivyo ila bashite wamemshikia mwamvuli
aargh ndo mana wamefuta,bashite barna.heheh,niliiona hiyo picha pahala kashikiwa mwamvuli.watu wenye makando kando huwa wanajitahidi sana kujitutumua na ubabe ubabe mwingi
 
huyo babyooo ana moyo kuvumilia hiyo sura yako.
 
Being humble takes you to great heights!
 
iko wapi hiyo picha?? Katoa nani na ni mbaya kuliko tulizoishaona kabla, jela mbayaaaaa.
 
Afrika ni bara lililolaanika, kila kiongozi hujifanya mungu mtu kwa anaowaongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…