sioni kitu.au picha zimefutwa?
asubuhi ilikuwepo naona saivi washaiondoasioni kitu.au picha zimefutwa?
mods hao wameshaitoa,wana wivu sana sometimesasubuhi ilikuwepo naona saivi washaiondoa
naona wameona ni uchochezi ila picha ilikuwa inaonyesha trump kajifunika mwamvuli mwenyewe na Obama hivyohivyo ila bashite wamemshikia mwamvulimods hao wameshaitoa,wana wivu sana sometimes
aargh ndo mana wamefuta,bashite barna.heheh,niliiona hiyo picha pahala kashikiwa mwamvuli.watu wenye makando kando huwa wanajitahidi sana kujitutumua na ubabe ubabe mwinginaona wameona ni uchochezi ila picha ilikuwa inaonyesha trump kajifunika mwamvuli mwenyewe na Obama hivyohivyo ila bashite wamemshikia mwamvuli
huyo babyooo ana moyo kuvumilia hiyo sura yako.Na uzuri/utam wa mwamvuli uushike mwenyewe ili uweze kujiwekea panapostahiki labda kama kuna kazi ya ziada mikono inaifanya so ukashindwa kuushika mwenyewe.Kingine labda ktk masuala ya romantic kushow love/care naweza kumshikia babyooo ama yeye kunishikia.
Yan ndio maana sikaukwi kusema WANAWAKE WANA HURUMA....ati na mimi nina babyoooohuyo babyooo ana moyo kuvumilia hiyo sura yako.
ubwenyenye