bahati mbaya
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 578
- 193
Ndoa ni uvumilivu.Wana JF habari za majukumu ya kila siku.
Mme anasafiri mara kwa mara bila taarifa, wakati mwingine akisijikia anakupa taarifa wakati kaishafika safari yake.
Mke akitaka kusafiri anampa taarifa mmewe inadvance siku mbili au tatu kabla kama safari yenyewe imepangwa kwa muda mrefu iwe ya kikazi au binafsi. Mme akiishapewa taarifa hiyo hiyo maswali yanazidi mpaka kuwa kero. Tena safari nyingine ni za kikazi.
Ushauri jamani.
Wana JF habari za majukumu ya kila siku.

Ukiona mtu kaja kuomba ushauri ina maana yamemfika shingoni.

Jitahidi mmeo asiinfluence zaidi ya 30% ya maisha yako. Ulizaliwa kivyako, ukakua kivyako, mkakutana ukubwani. Kama ni safari kweli, kama ana mambo yake shauri yake. Huwezi kumcontrol binadamu, tena mtu mzima. Kama una wasiwasi na nyumba ndogo hicho sio kitu wanawake wanahofia tena siku izi. Nyumba ndogo na vidumu zipo na sizikisababishe ukaishi kwa huzuni, maisha menyewe mafupi haya. Kuwa happy, enjoy every minute of your life and stop giving attention things you can never change.Ukiona mtu kaja kuomba ushauri ina maana yamemfika shingoni.