unapomsikia dadaako ana........, noumer sana.

kwani alifikiri dada yake anapoolewa anendakufanya nini? asikasirike ni kawaida kama hakutaka hivyo angeenda kulala
 
tatizo la extended family hilo. Ukimsaidia mdogo wako sio lazima ukae nae, unaweza kumsaidia akiwa mbali pia, hii inaleta tafsiri zisizotarajiwa kwani unless uwe unaigiza lakini kwenye majambozi hisia hazizuiliki.
 
dogo yule kachekea nini sasa angekuwa serious, akasema nasisi tufanye kama wao :biggrin:
 
Jamani unapojiunga jaribu hata kuvuta pumzi kidogo! changia changia mabandiko ya wengine! leo leo na stori ya kitoto toto! manake nkisema ya kutunga ntakua sijakutendea haki!

ahhhahhaa kazi kwelikweli..haya ngoja mi nivute pumzi
 
Back
Top Bottom