duh! vibarua kani hivyo tena usiku wa masaba namanane
unapokea simu saasaba za usiku halafu mtu anakuuliza UMELALA? Ukimjibu kuwa upo unasimamia vibarua shambani utakuwa umekosea? nawasilisha
MadameX hebu nitajie namba za ungo wakoNiko night shift ya kuwanga
Jibu zuri ni kumwambia kwamba uko kwenye shughuli pevu.unapokea simu saasaba za usiku halafu mtu anakuuliza UMELALA? Ukimjibu kuwa upo unasimamia vibarua shambani utakuwa umekosea? nawasilisha