nawaeleza mikakati ya kulikomboa taifa 2. Nawafukuza kazi KOVA na MZEE WA MEEE na nahakikisha nawapeleka Mabwepande 3.kama muda utaruhusu namnyang'anya vasco dagama zile suti alizohongwakuwa??
1. Nitamwachia huru papii kocha,babu seya simuachii ng'o.
2. Chenchi ya rada nitahakikisha watoto wote inji hii wanapata kiti na desk,aibu jamani wanetu kukalia mawe.
3.NBC nitaitaifisha,hivi kwa nini tuliiuza?
4. Nitapiga marufuku uanzishwaji wa migodi mipya,kama hatuwezi kuchimba wenyewe kwa mtaji wetu bora tuviachie vitukuu vitajua la kufanya,sio wakute mashimo.
5. Mwisho but more importantly nitamkaribisha dina ikulu The secretary.
nawaeleza mikakati ya kulikomboa taifa 2. Nawafukuza kazi KOVA na MZEE WA MEEE na nahakikisha nawapeleka Mabwepande 3.kama muda utaruhusu namnyang'anya vasco dagama zile suti alizohongwa
labda litakuwa undergroud!!
mabwepande ni zaidi ya Gwantanamo.kuwafukuza unakuwa hujawatendea haki yaan mimi nikuwapeleka Gwantanamo!! Mpaka aliyenipa hayo madara atatamani nisiachie nchi!