Unapenda ukaishi wapi katika haya na mpenz wako?

Ooops, yaani coincidentally na wewe umewaza huu wimbo. Ila ni wa gatho bwana, holds a lot of memories (zisizo za mapenzi lakini, lol)

Hahahaaaaaaa If it happens like that by accident,play lotto,you gonna win!! Hata soukous star wameimba hayo maneno search youtube soukous star-rose
 
1.kisiwani

2.ufukweni

3.milimani

4.kijijini

5.sehemu ya baridi kali

6.jangwani

mi napenda kijiji au kisiwani

Inawezekana ikawa katika kijiji kilicho kisiwani pembeni ya milima yenye baridi kali iliyo pembezoni mwa ufukwe, mkuu!
 
Kisiwani bomba maana mie napenda sana bahari.

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…