Unapenda kula nyama, Unayafahamu haya?

Unapenda kula nyama, Unayafahamu haya?

hao wazee wazamani walikua wanakula nyama tena Mbichiii.. sisi ndo tunakula ikiwa imepikwa bado eti ina madhara.... hilo shirika la chakula duniani watuache waafrica tushibe bhana
 
hao wazee wazamani walikua wanakula nyama tena Mbichiii.. sisi ndo tunakula ikiwa imepikwa bado eti ina madhara.... hilo shirika la chakula duniani watuache waafrica tushibe bhana

inaezekana kwakeli... wakula aiivi kiasi cha kutoa amaino
 
Shada yao tuwaachie ngombe zetu na mbuzi nakondoo INA mdudu ili tuwafugie siye waje wachukue kiuuulaini
 
Mimi formula yangu ni ile ile moja tu.

1(a)Nakula kila chakula, isipokuwa vilivyoharamishwa na dini yangu tu.

(b)Nakula ninapohisi njaa na nikila sijazi tumbo kwa kushiba ndindindi,nashiba ile kwa mbali ili nipate nafasi ya kula vyakula vingine na kunywa kwa wastani.

Si unajua tena kiroba ambacho hakijajaa vizuri ndicho rahisi kukifunga kamba.
 
Back
Top Bottom