Mimi ni kijana (Mvulana) mwenye umri wa kukaribia miaka 40.
Miaka 40 ni mvulana?
...NN hutaki sasa kwamba unaweza ukawa na miaka 40 na bado ukawa mvulana? 🙂
Miaka 40 ni mvulana?
Hahaaaa Bubu my friend, we ushafikisha nini hiyo age? Manake unanitia shaka kidogo....
lol! si unamuona Le Mutuz inadaiwa ana miaka 50 lakini bado ni mvulana 🙂🙂 kutokana na matendo yake ya kivulana. Mie bado bana lakini siwezi kujiweka kwenye kundi la wavulana.
Mimi ni kijana (Mvulana) mwenye umri wa kukaribia miaka 40.
Historia yangu ya maisha ni ndefu kiasi ila kwa kifupi ni kuwa; nimetoswa na msichana niliyempenda na kumuamini sana kuwa angekuwa mwenza wangu.
Hii ilitokea baada ya kumsaidia kupata scholarship ya kwenda kusoma Holland kozi ya miaka mitatu (kuanzia mwaka 2007). Huyu msichana nilimpata wakati nipo chuoni….
Kwa kifupi ni kuwa nigharamikia mambo yote muhimu kwa safari ya nje ya nchi. Visa/ passport nk muda ulipofika alienda chuoni na tulikuwa na mawasiliano mazuri sana kwa mwaka wa kwanza (Facebk/skype na hata simu) ila yalienda yakipungua mwaka wa pili. Miezi ya katikati ya 2009 nilipata wakati mgumu sana kwani mara kadhaa usiku nawasha computer yangu nakuta yupo hewani kwenye Messenger ila niki chat anabakia kimya; baadae sana akinijibu anasema kuwa aliacha Comp. yake on akalala. Ilienda hivyo hivyo hadi mwishoni mwa mwaka (2009) akawa anadai mimi sina mapenzi ya kweli kwani sijawahi hata kuwa na wazo la kwenda kumtembelea chuoni kwake (huko Holland) nafikiri wanao jua Geography wanaweza kujua unavyosema unaenda kumasalimia mtu aliyeko East Holland unaongelea $$$ ngapi?
Iliniumia sana, kwani nilijua kabisa huo sio mwisho mzuri…iliendelea hivyo hivyo kwa malumbano madogo madogo hadi muda wa kurudi ukafika. Ile tar. Aliyo niambia angekuja hakuonekana na kila nikiimuuliza kuwa ameahirisha hadi lini anakwepa…
Baada ya kufuatilia kwao ( kwa kutumia mpambe) nikajulishwa kuwa amesha pata mtu mwingine raia wa nchi jirani na kwetu (walikutana huko chuoni) na wana tegemea kufunga ndoa.
....Nilijilaumu kwa kumpa nafasi ya kusoma….labda tungekuwa tumezaa naye mtoto????
Kinachoniumiza:
1. Nili dedicate mawazo yangu yote kwake sasa kwa umri huu (karibia 40yrs)nita anzaje tena kutafuta mchumba?
2. Wasichana wazuri ambao nafikiri nitamatch nao umri naona wengi wapo kwenye ndoa
3. Frankly I am desperately and I need your hands!
Naomba uni "pm" kama unacha kunishauri
Mimi ni kijana (Mvulana) mwenye umri wa kukaribia miaka 40.
Historia yangu ya maisha ni ndefu kiasi ila kwa kifupi ni kuwa; nimetoswa na msichana niliyempenda na kumuamini sana kuwa angekuwa mwenza wangu.
Hii ilitokea baada ya kumsaidia kupata scholarship ya kwenda kusoma Holland kozi ya miaka mitatu (kuanzia mwaka 2007). Huyu msichana nilimpata wakati nipo chuoni .
Kwa kifupi ni kuwa nigharamikia mambo yote muhimu kwa safari ya nje ya nchi. Visa/ passport nk muda ulipofika alienda chuoni na tulikuwa na mawasiliano mazuri sana kwa mwaka wa kwanza (Facebk/skype na hata simu) ila yalienda yakipungua mwaka wa pili. Miezi ya katikati ya 2009 nilipata wakati mgumu sana kwani mara kadhaa usiku nawasha computer yangu nakuta yupo hewani kwenye Messenger ila niki chat anabakia kimya; baadae sana akinijibu anasema kuwa aliacha Comp. yake on akalala. Ilienda hivyo hivyo hadi mwishoni mwa mwaka (2009) akawa anadai mimi sina mapenzi ya kweli kwani sijawahi hata kuwa na wazo la kwenda kumtembelea chuoni kwake (huko Holland) nafikiri wanao jua Geography wanaweza kujua unavyosema unaenda kumasalimia mtu aliyeko East Holland unaongelea $$$ ngapi?
Iliniumia sana, kwani nilijua kabisa huo sio mwisho mzuri iliendelea hivyo hivyo kwa malumbano madogo madogo hadi muda wa kurudi ukafika. Ile tar. Aliyo niambia angekuja hakuonekana na kila nikiimuuliza kuwa ameahirisha hadi lini anakwepa
Baada ya kufuatilia kwao ( kwa kutumia mpambe) nikajulishwa kuwa amesha pata mtu mwingine raia wa nchi jirani na kwetu (walikutana huko chuoni) na wana tegemea kufunga ndoa.
....Nilijilaumu kwa kumpa nafasi ya kusoma .labda tungekuwa tumezaa naye mtoto????
Kinachoniumiza:
1. Nili dedicate mawazo yangu yote kwake sasa kwa umri huu (karibia 40yrs)nita anzaje tena kutafuta mchumba?
2. Wasichana wazuri ambao nafikiri nitamatch nao umri naona wengi wapo kwenye ndoa
3. Frankly I am desperately and I need your hands!
Naomba uni pm kama unacha kunishauri
bado unajiita mvulana?!nani anataka kuolewa na mvulana?