Unapenda ipi?

To me issue is satisfaction hayo Mambo ya rounds tutakuwa tunaumizana na kuchoshana tuu.
 

hapo umenena, wanaume acheni kuwa selfish
 
kwani kuna medali za hiyo mambo jamani,satisfaction ndio jambo muhimu na sio kuchoshana
 
Duh ivi bado mnahangaikia rounds kweli?

Personally, what I struggle for is to have her climax..basi! Whether it takes a minute or an hour...izo round na duration ni mbwembwe za vijana wa mjini (and if am not wrong, they weren't older than 25yrs)

Excellent!! mbwembe nyingi kumbe mwenzio anaumia tu mpaka lubricant yote inaisha,anaomba saa ngapi umalize!
 
me huwa napenda Marathon..game yake kama una pumzi fupi hufiki mbali
 
Katika malumbano mwisho wa mchezo ikawje?
 
Hahahahaa.....amka na BBC kweli! Unakwenda ofisini mwepesiiiii...!

Umeona eee?? tena kanaleta mood fulani yakufanya kazi kwelikweli,kama vile dunia yote yako!!!!
 
Mi huwa napenda mzunguko wa pili, 25 minutes aaah mi roho kwatu.
Namwambia beb unajua hujaenda saluni, chukua hii 15 utaenda kusuka.
Shida wengine wanawah kukausha dkka 15 tu kukavu.
 
Umeona eee?? tena kanaleta mood fulani yakufanya kazi kwelikweli,kama vile dunia yote yako!!!!

Uko sahihi kabisa...mastress yote yanaondoka! tena wakati huu wa baridi ndo usiseme!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…