Unapenda ipi?

papag

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,365
Reaction score
2,067
Habari wakuu?

Jana nilikuwa sehemu na kukawa na malumbano.

Je katika suala zima la malove unapenda kwenda raundi moja ndefu?
 
Inategemea na mbio zako na unaekimbia nae, but long run is tasty
 
maanake kuna wengine anaweza kwenda hata nne lakini kila round haimalizi dk 5
 
mbio za kati ndio zenyewe, mita elfu 1 mpaka elfu 5000, mbio fupi hazimalizi hamu, mbio ndefu zinachosha, marathon noma mpaka wengine huwa wanaamua ku-fake orgasm.
 
Inategemeana na mtu kunawengine kitu kweli kitu inaingiza tu mwaaaaaa
 
kafasta kanakuwa katamu pale ambapo mna haraka au mnaogopa kufumaniwa.hahahaaa
 
Duh ivi bado mnahangaikia rounds kweli?

Personally, what I struggle for is to have her climax..basi! Whether it takes a minute or an hour...izo round na duration ni mbwembwe za vijana wa mjini (and if am not wrong, they weren't older than 25yrs)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…