Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
Hakuna chombo cha habari (vyombo vya habari) katika ulimwengu huu ambacho kitafanya kazi moja tu; ya kumpamba, kumsifu, kumpulizia pafyumu,kutengeneza kachumbari, juisi na vikorombwezo vingine kwa madhumuni ya kumfurahisha kiongozi mkuu wa nchi.
Ndiyo maana tunao wakorofi na waungwana, wapenda ubuyu na wasiopenda, wakaidi na wasikivu, wenye heshima na wasionazo, wenye adabu na wasionazo.
Hakuna chombo cha habari kilichozuia Mitambo ya kuzalisha umeme ya TANESCO inayosota pale Bandarini (TPA) bali ni Mamlaka ya mapato (TRA) inayodai kodi.
MTU NI AFYA. TUSITANIANE.
Andunje wa Fikra