Unaotokea mjini kuja Ubungo na Kimara tafuta njia nyingine

Ubungo pamefugwa magari hayaendi. Magari yanageuza kupitia Sinza hata mwendokasi wamesimama.
Wanamalizia kurekebisha njia pale round about magari yahamie hapo maana kwa sasa yanakopita wanataka waweke zile chanel pale juu usawa wa yakmnakopita saa hivi
 
Hongera kwa mdau aliyetoa taarifa kwani ni ngumu kutambua nini HASA kimetokea labda uamue kutembea kwa miguu ufatilie kilichotokea.

Kwa msaada, njia ya Samujoma/Ubungo-Mwenge hazina foleni kabisa, kwa mdau anayetokea mjini ingilia popote, kisha shika shekilango road, ingia mawasiliano kisha rudi Ubungo unatoka vizuri bila shida.
 
76646839_542708229638165_4671069129615081472_o.jpg
76646839_542708229638165_4671069129615081472_o.jpg
 
Back
Top Bottom