Unaona?

Mdharuba

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2011
Posts
824
Reaction score
521
Kwenye zizi la ngombe, mke akawa anashangaa dume linavyopanda jike. Akamuuliza Dk wa mifugo, "Hivi hili dume hupanda mara ngapi kwa siku? "Dk, " kwa wastani mara sita kwa siku "Mke akamgeukia mumewe, "unaona! ...

."Mume akajifanya hajasikia lolote.... kisha akamgeukia Dk wa mifugo na kumuuliza, " Hivi hizo mara sita kwa siku huyu dume huwa analipanda jike hilo hilo? "Dk, "Hapana, huwa anapanda majike tofauti"Mume akamgeukia mkewe huku akitabasamu, "Unaona?"
 
Safi na pole. Kuna ya Kiingereza ilikuwa humu, sijui ni nani aliitafsiri... Ni wa Kiingereza kutoka Kiswahili au ni wa Kiswahili kutoka Kiingereza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…