Mambo ya kushtukiza ama surprise ni mazuri always.Mbona ghafla
Najua ni mazuriMambo ya kushtukiza ama surprise ni mazuri always.
Hahaha dah ila JeiefuMtoa mada Mungu kaniambia unipe laki6
Niko makini sana.ππππila wewe. Ndege huogopi ukimwi
Yaani mtu anashiba ugali na dagaa halafu anakuja kututishia sisi ambao hatujala kabisa!Anaetaka kufa wacha afe kashiba ugali
Hizo ni psychological manipulative tactic inaitwa empathy kama sijakosea.Yaani mtu anashiba ugali na dagaa halafu anakuja kututishia sisi ambao hatujala kabisa!
Masihara yamezidi.
Dada mamboπ€Kuna mtu nam miss sana humu jf.....
Nikwambie I miss u so much mara moja moja huwa nakuona nakupa like!!!!!
Hakika, mola atupe ahai tuendelee kusaprayziana. Si ndiyo.Najua ni mazuri
πππkwahiyo unatembea na zana au siyo?Niko makini sana.
Nina imaniππHahaha dah ila Jeiefu
Kabisa mkuu, mtu anataka aonewe huruma ili tu Moyo wake ufurahi.Hizo ni psychological manipulative tactic inaitwa empathy kama sijakosea.
Hakikaπ―Hakika, mola atupe ahai tuendelee kusaprayziana. Si ndiyo.
Hahaha π umejuaje?πππkwahiyo unatembea na zana au siyo?
I love that for real.Hakikaπ―
πππhiyo kampeni yako unaimaliza lini?Hahaha π umejuaje?
Mungu kanambia uninunulie mvinyoUna kiu ya pombe _ kalewe.
πΉπΉπΉ Nilijua backbencher lazima niwakute na comments zenu..!!Una genye?jichue
Unatoa likes kwa wengi naomba mtaje hapa ajijue πΉKuna mtu nam miss sana humu jf.....
Nikwambie I miss u so much mara moja moja huwa nakuona nakupa like!!!!!