Unaogopa nini

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
1,041
Reaction score
1,294
Unaogopa nini ?
Umemmiss mtu? - Mpigie simu.
Unataka kukutana na mtu? - Mualike.
Unataka kueleweka? - Jieleze.
Una maswali? - Uliza.
Hupendi kitu? - Sema.
Unapenda kitu? - Sema.
Hujaelewa kitu? Uliza.
Unampenda mtu? - Mwambie.

Tuna maisha mara moja tu. Yafanye kuwa rahisi.β™₯️
 
Unataka kuwa shoga?- Acha mara moja maana ni tabia mbaya.

Una korodani mmoja na unategemea kuzaa?- Futa hayo matumaini pumbu moja halitoshi kabisa.

Unakuja hapa JF na kutangaza kujiua au kujidhuru kwa kutafuta attention au huruma?- Acha mara moja maana hatukuhurumii zaidi tutakufundisha namna ya kujimaliza mapema.

Unawahurumia mamodinyo ili wasikubaninyo?- Hawa jamaa hawatabiriki wala usijipendekeze kwao we wachane live.

Na je, unataka kukojozwa?-Njoo hapa Mimi ndiye mkali wa hayo mambo.

Kwa leo ni hayo tu, alamsik.
Harmful Nomadix Binti Sayuni03 Anastasia21 BICHWA KOMWE - .
 
Mbona ghafla
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™Œila wewe. Ndege huogopi ukimwi
 
Mtoa mada Mungu kaniambia unipe laki6
 
Anaetaka kufa wacha afe kashiba ugali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…