jamaa kamchokoza mwenzake makusudi,mwenzie kamaindi,jamaa badala aombe samahan,akataka kuonesha uanaume,wakakwidana,zikapigwa,
jamaa akaona mwenzie mtata,atamuua,anaangalia watu kwa huruma,watu hawaamui,wanaangalia tu,kataman kuomba msamaha lakin ataonekana siyo mwanaume,lakin anazidiwa,akafoka kwa ukali
jamaa;mnashangaa nn badala mtuamue,hamuon tutauana..