Unamtambua Mh. Lowassa kama nani?

when i see/hear people looking up to Lowassa i am reminded of the poverty of thought we have.
this is a person who exquses himself from the wrong he did because mr.president didnt take heed to his(EL) advice.
if he is 'mthubutu,jasiri,makini...'and all that he is said to be why didnt he stand for the right thing-resign for example??he resigns when hell breaks loose and takes ages to point out whose fault it was from the beginning!
he is the exact kind of person i dont want to see president!
those who say EL is a 'fisadi' who is 'good' coz of the above said reasons are the lowest anyone could ever be!
Instead of singing praises for a lost cause why dont we think outside the box and think of someelse who has done as good??insted if overlooking a big stain on our white bed sheet!
 
Alijiuzulu kwa hasira na kudhani kwamba angebembelezwa arudi lakini alisahau kwamba ilikuwa live kwenye tv.

Ndiyo mana anahangaika kujisafisha bila ya mafanikio
 
Namfananisha na YUDA ESKARIOTI uyu mzee anafanya makanisa yawe pango la wanyang'anyi every sunday yupo kwenye harambee na pesa zake za wizi
 
Mimi nadhani nitakuwa na mawazo tofauti na wengi kuhusu lowasa.mi namuona kama ni kiongozi mchapakazi na once anapokuwa na cheo fulani anafanya kweli. I believe Lowasa ingawa anatuhumiwa kwa ufisadi ni kiongozi mchapakazi na muwajibikaji.ni bora ya mwizi anayeiba na kuleta pia maendeleo kuliko mwizi ambae hafanyi lolote la maana kama baba fulani.nahisi anataka urais ili awaprove watu wrong
Sasa mbona mnalia na Blandina nyoni ?
 
Lowasa ni gaidi anayeangamiza watu wake! Hana ubinadam ndani ya roho yake, ni mbweha asie ridhika! ana uchu wa madaraka.... etc
 
Namfahamu Lowasa kama mbunge wa Monduli, waziri mkuu aliyejiuzulu kwa maslahi ya mshkaji wake(JK) waliyecheza naye dili la kuibia Watanganyika kupitia Richmond likabumbuluka.
Vilevile namfahamu kama mtu mwenye uroho wa madaraka kuliko mtu mwingine hapa Tanzania kwani jitihada anazofanya Lowasa ili kuupata Uraisi wa nchi hii sidhani kama kuna mtu ameshazifanya.
Mwisho namfahamu Lowasa kama mwanachama wa CCM ambaye ni mmoja ya watuhumiwa wakuu wa Ufisadi, mbabe na anayeogopwa na hata uongozi wa chama chake na mtumiaji mzuri wa nyumba za Mungu kujisafisha.
 
Fisadi mkuu tz. Anayetaka urais kwa garama yoyote. Anaongoza genge la umafia tz. Mtu aliyejiuzia ranch na viwanja vya serikari. Mtu asiyefaa kuongoza ata kaya. Mtu wa visasi
 
I'm sure he is not as duty as tunavyomchukulia!! Hiyo ufisadi thing inawengi behind him ambao tutawatambua watakapo achia ngazi zao awamu ijayo
 
Namtambua kama mtu asiyeogopa kufanya kile anachokiamini na kukisimamia vizuri .

tunaona shule za kata alizosimamia vizuri na matokeo yake tunayaona, alisimamia richmond bila woga na sasa tunavuna faida zake, alitaifisha lunch za taifa bila woga kwani anajiamini sana katika mambo kama hayo!namtambua kama mwizi mzoefiu aliyetukuka na mwenye ubabe! kwetu uhayani tunawaiza ''maza''
 
Ha ha ha ha!Maza tena mkuu?Kweli lugha zina mambo.
 
Holder wa fine art degree.
Fisadi hodari
Tamaa ya madaraka inamsumbua.
OTIS
 
Kama mwizi wa kimasai aliyesomea sanaa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Ndiye chanzo cha matatizo yoye yanayojitokeza hapa Tanzania.Kama aliyekwisha kutabiriwa na Shaaban Robert kwenye Riwaya ya Kusadikika kama 'Majivuno'.Kama mtu ambaye kama Mpare Saidi Mwema akiniruhusu nimlishe sumu mtanzania mmoja basi atakuwa Lowassa.I hate myself to be born and live with Lowassa in Tanzania..ptuuuuuuuuuuuu!

Vuta-nkuvute, nimeipenda saana hiyo na mimi naongezea kuwa ni mnafiki, kizabazabina, mroho na tamaa ya mali asizofanyia kazi.
 
Mimi nadhani nitakuwa na mawazo tofauti na wengi kuhusu lowasa.mi namuona kama ni kiongozi mchapakazi na once anapokuwa na cheo fulani anafanya kweli. I believe Lowasa ingawa anatuhumiwa kwa ufisadi ni kiongozi mchapakazi na muwajibikaji.ni bora ya mwizi anayeiba na kuleta pia maendeleo kuliko mwizi ambae hafanyi lolote la maana kama baba fulani.nahisi anataka urais ili awaprove watu wrong

''Ni bora mwizi anayeiba na kuleta maendeleo''. What a Robin Hood-like way of thinking,on the contrary he steals from the poor and give to the rich.

Think people,thiiiiiink!!!!

Nimeogopa sana kuona bado kuna mtu anafikiria mambo kwa mtindo wa 'poetic justice'.
 
Kama mwizi wa kimasai aliyesomea sanaa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Ndiye chanzo cha matatizo yoye yanayojitokeza hapa Tanzania.Kama aliyekwisha kutabiriwa na Shaaban Robert kwenye Riwaya ya Kusadikika kama 'Majivuno'.Kama mtu ambaye kama Mpare Saidi Mwema akiniruhusu nimlishe sumu mtanzania mmoja basi atakuwa Lowassa.I hate myself to be born and live with Lowassa in Tanzania..ptuuuuuuuuuuuu!

Basi wewe una ROHO MBAYA sana!!! Kumlisha mtu sumu ni jambo la hatari sana.....kama yeye ni mbaya mwache maana mungu yupo ambaye ana hukumu! Na kwakua huna mamlaka wala uwezo wa kufanya hivyo, basi imekula kwako

Alafu Umasai na wizi unaomtuhumu Lowassa ni vitu viwili tofauti!! Poor you.... ****!!!!!
 
Back
Top Bottom