sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
Mchungaji alitangaza kila mtu atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke wake...basi watu wakaanza kutoa Mokoyo akatoa 50,000/ Baba V 30,000 Erickb52 10,000 kiwatengu 20,000 mwekundu 100,000 Kaizer 50,000 Arushaone 10,000 na wengine wengi Bishanga yeye alitoa shilingi hamsini(50) . Mchungaji akamuita akamuuliza"ina maana mkeo sio mzuri?" Bishanga akajibu ....Ukimuona UTANIRUDISHIA NA CHENJI.
Baba V mi simo!Aione The secretary..
Washawasha inaonekana wewe hukutoa kabisa sadaka!!kkkkkkkkkkkkk
Nalog off
hahahahaha sungura1980 wewe unatafuta kesi ambayo hupata wakili wa kukutetea, unajua mahari ya shemejio ilikuwa milioni 10 na ng'ombe 10, leo umemshusha thamani mpaka elfu 50Mchungaji alitangaza kila mtu atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke wake...basi watu wakaanza kutoa Mokoyo akatoa 50,000/ Baba V 30,000 Erickb52 10,000 kiwatengu 20,000 mwekundu 100,000 Kaizer 50,000 Arushaone 10,000 na wengine wengi Bishanga yeye alitoa shilingi hamsini(50) . Mchungaji akamuita akamuuliza"ina maana mkeo sio mzuri?" Bishanga akajibu ....Ukimuona UTANIRUDISHIA NA CHENJI.
hahahahaha sungura1980 wewe unatafuta kesi ambayo hupata wakili wa kukutetea, unajua mahari ya shemejio ilikuwa milioni 10 na ng'ombe 10, leo umemshusha thamani mpaka elfu 50
hahahahaha bora aninyime chakula jioni kuliko kuninyima chakula usikuKaka Mokoyo si ndo na mimi nashangaa kwa nini ulitoa kiasi kidogo kiasi hicho?!Au ndo unataka kuoa mwingine?Sikuelewi unajua bro,bora hata huu uzi hasiuone maana ninavyomjua jioni hamna chakula!
sikutoa hata sumni.Washawasha inaonekana wewe hukutoa kabisa sadaka!!